
New School New Rules - Shule Mpya Kanuni Mpya
If you are new to Australia and your child is entering primary school, this series is for you. Hear expert advice from principals and teachers with real, relatable stories from parents and students. You will learn how Australian primary schools work and what you can expect from school life. Topics include communicating with teachers, supporting your child’s learning, building friendships and confidence, and connecting with your school community. You will also find out how other families have approached challenges, asked for help and found support. New School New Rules podcast gives you clear, practical information to help you navigate the school system, make informed decisions and support your child as they settle into primary school in Australia. - Kama wewe ni mgeni Australia na mtoto wako anaingia shule ya msingi, mfululizo huu ni kwa ajili yako. Sikiliza ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wakuu wa shule na walimu ukiwa na hadithi halisi na zinazoweza kuhusishwa kutoka kwa wazazi na wanafunzi. Utajifunza jinsi shule za msingi za Australia zinavyofanya kazi na unachoweza kutarajia kutoka kwa maisha ya shule. Mada ni pamoja na kuwasiliana na walimu, jinsi yaku saidia mtoto wako kusoma, kujenga urafiki na kujiamini, na kuungana na jamii ya shule yako. Pia utagundua jinsi familia zingine zimekabiliana na changamoto, kuomba msaada na kupata usaidizi. Podikasti hii inakupa taarifa wazi na za vitendo ili kukusaidia kupitia mfumo wa shule, kufanya maamuzi sahihi na kumsaidia mtoto wako anapoanza shule ya msingi nchini Australia.




